Habari Mpya

OFFICIAL: MAROUNE FELLAINI ATAMBULISHWA RASMI MAN UNITED

Written By shebby on Saturday, September 14, 2013 | 7:54 AM


Fel
Close to failure: Fellaini admitted that he was worried about the deal falling through on deadline day
Debut: Fellaini is ready to start for United against Crystal Palace
Fell
Fell

DANIEL STURRIDGE NA KOCHA WAKE BRENDAN ROGERS WAIBUKA TUZO ZA MWEZI AUGUST EPL


Baada ya kuiwezesha Liverpool kuanza vizuri msimu wa ligi kuu ya England - Kocha Brendan Rogers na mshambuliaji wa timu hiyo Daniel Sturridge wameshinda tuzo za mwezi za EPL.

DIMOND KUTOA KITU KIPYA CHA "NUMER ONE"

Written By shebby on Tuesday, August 27, 2013 | 5:05 AM


d1Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video yake ya “Number one” ambapo tayari picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu ya video hiyo yenye magari ya kifahari ndani yake pamoja na vitu vingine.
Kwenye hizi siku kadhaa kabla hajaiachia, Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki wake ladha ya huu wimbo kabla hata haujatoka ambapo kwenye official twiiter account zake za  twitter, facebook na instagram Diamond anapost picha zenye mistari kadhaa ikiwa na #NumberOne.
1
Baadhi ya mashabiki wameshaanza kuelewa na kuanza kufatilia hii single mpya ambapo kwenye headlines nyingine, inaaminika Diamond anaweza kufanya uzinduzi mkubwa na wa tofauti sana kwa ajili ya hii video ya number one ambayo ameifanya nchini South Africa.
d3
d2
 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger