Home » » JAMANI MWANGA NDO ANKUWA HIVI(CHENI KIBAOO)

JAMANI MWANGA NDO ANKUWA HIVI(CHENI KIBAOO)

Written By shebby on Thursday, April 4, 2013 | 12:42 AM


She was flyiing with a broom n fell on the ground. Where do u think she is coming from?

Shabi

Hii hali sasa imekua tete, kama mnakumbuka wiki tatu zilizopita tuliwaletea habari ya mwanga aliyekamatwa huko arusha akiwa anawanga kwenye nyumba ya mtu akiwa uchi, sasa hivi hii imetokea huko shinyanga. Bibi huyu alikamatwa baada ya kudondoka na ungo wake aliokuwa akisafiria, bado haijajulikana alikuwa anaelekea wapi......Duuh!!!
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger