Home » , , » HIVI NDIVYO LADY JAY DEE ATHIBITISHA TAARIFA ZA KUTAKIWA MAHAKAMANI, SIKU YA ANNIVERSARY YAKE YA MIAKA 13

HIVI NDIVYO LADY JAY DEE ATHIBITISHA TAARIFA ZA KUTAKIWA MAHAKAMANI, SIKU YA ANNIVERSARY YAKE YA MIAKA 13

Written By shebby on Sunday, May 12, 2013 | 4:20 AM


Baada ya Lady JayDee kusema amepokea habari ambazo alikuwa bado hajazidhibisha kuwa anatakiwa mahakamani na kuomba kama ni kweli isiwe tarehe ambayo anafanya show ya miaka 13 ya Lady Jaydee, sasa inaonekana amesha confirm kuwa anatakiwa kufika mahakamani jumatatu ya tarehe 13 May mwaka huu.


Jide amewapa fans wake taarifa jana jioni kupitia facebook na twitter kuhusu kufikishwa kwake mahakamani na kwamba ataendelea kuwajuza kinachoendelea.

Kupitia ukurasa wake wa facebook Jide ameandika satatus hii:


“Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....
Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.”


Lakini pia kupitia mtandao wa twitter, Jide a.k.a Anaconda ameandika:


Kupitia facebook fun page yake aliandika hivi



Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger