Written By shebby on Saturday, May 25, 2013 | 7:44 AM
Siku ya tarehe 26 mwezi huu, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big
brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia
channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu.
Dola laki tatu kushindaniwa
Post a Comment