Home » , » HIZI NDIZO SEHEM TU ZA VIDEO YA MAJANGA TOKA KWA SNURA

HIZI NDIZO SEHEM TU ZA VIDEO YA MAJANGA TOKA KWA SNURA

Written By shebby on Saturday, May 25, 2013 | 4:39 AM

Hapa ndio ile sehemu kupigwa nipigwe mie,police kawahi yeye, kibao nimegeuziwa mie.
SUBIRIA KWA HAMU VIDEO HII ITAZINDULIWA JUMAPILI YA TAR 2 PALE NEW MAISHA CLUB KWA MARA YA KWANZA.
Abby kazi mzazi ndio mpango mzima kuakikisha anapata picha kali na za kisasa










 Huyu kaka anaitwa abour jr alionekana kuambatana sana na huyu binti kila sehemu ya eneo hili japokuwa  walikutana kwenye video mabwepande sijui alikuwa anataka kujiweka????? naona hapo anachukua namba ya simu!!!11




 BI SHASTA
CHEK BUDI
 bwana manager HYPERMAN HK
 Kula chungwa hakuhitaji kujivunga
 chezea wacheza show wa snura wana laana !1 mama yao hasingewazaa hawa angepata kifafa cha uzazi dizasta kweli kweli.
 wangu isabela babeiiiiiiii!

Mzee wa bongo dsm aliwakilisha


Aby kazi a.k.a mzee mzitooooooo

Malaika yuko na snura
doli za kinyama zilifungwa

hapana chezea emage array kabisa na mtoto abby kazi
iNTERVIEW zilihusika na bwana manager


check budy, mainda,nasri na talha.



kulia ni NASRI hk, na kushoto ni talha snura. manager na msanii wake.chezeamaji kufata mkondoo!!!
Malaika ameshashuka kutaka kusikiliza majanga ya wananchi yalivyokuwa mengi.


Mainda nae alikuwepo

Watoto wanaomba majanga yapungue kwa mana majanga yamezidi sana duniani


Hawa nao walifatana fatana sijui kulikuwa na nini kati yaooo.

 Kupata msosi maeneo hayo kidogo ni tabu mara kapita muuza samaki du watu wacha wamgombaniee
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger