Home » , , » SABABU ZA MSANII PROFESA JAY KUCHUKUA KADI YA CHADEMA, HIKI NDO ALICHOKISEMA

SABABU ZA MSANII PROFESA JAY KUCHUKUA KADI YA CHADEMA, HIKI NDO ALICHOKISEMA

Written By shebby on Wednesday, May 22, 2013 | 1:04 AM


 Mh Sugu,Profesa Jay na Mh John Mnyika leo Dodoma.
Profesa Jay amesema yeye ni mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi leo lakini yeye ni mfuasi wa Chama hicho muda mrefu kutokana na harakati zake za kutaka kuikomboa Tanzania.Profesa Jay alisema kuwa anapenda Tanzania Bora,na anaamini Chama cha Chadema kina muelekeo huo wa kuipeleka Tanzania kuwa Bora.Hiyo ndo maana ameamua kuchukua kadi ya chama hicho na si kwa nia ya kufanya Siasa ila ni kwaajili ya kuijenga Tanzania na kuendeleza harakati.
MSIKILIZE hapo chini;
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger