Home » , , » KWA WAPENZI WA TAMTHILIA YA MARA CLARA....HEBU CHEK HIZI PICHA ZA SUZAN AKIWA HALF NAKED

KWA WAPENZI WA TAMTHILIA YA MARA CLARA....HEBU CHEK HIZI PICHA ZA SUZAN AKIWA HALF NAKED

Written By shebby on Thursday, May 16, 2013 | 12:42 AM

katika pita pita zangu za kufuatilia undani wa hii tamthilia nikakutana na udaku wa kuwahusu wasanii wengi wa Philipine. na hapa naanza na huyu mwana dada na picha zake mbaya na za utupu nilizoziona na zikiwa na story zisizoridhisha. nikajaribu kumuuliza rafikii wangu anayeishi huko na alinijibu kuwa Mylene alikuwa mwenye tabia zisizoridhisha kipind cha ujana. Ila kwa sasa mwigizaji huyu ametulia na hana visa kama zamani enzi akianza kuvuma. hizi hapani baadhi ya picha zake. na baada ya hizi tutakuletea udaku wa mwigizaji mwingine ambaye pia nae ameshiriki kwenye Mara Clara. unataka kujua ni nai???




 Hii hapa ni picha yake akiwa ancheza muvi yake kama gaidi na muuwaji msichana.  miaka ya 2009 na kuazia kipindi hicho aliaanza kujitambua na kuacha, na sasa ni mama wa familia na alitoa kauli nyingi za kuomba radhi mara baaada ya kutambua aliyokuwa anafanya hayakuwa mazuri kwa msanii mkubwa kama yeye ambaye alitazamwa na jamii ya watu wengi ndani na nje ya Philipino.
Source : emneys.com
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger