Home »
burudani
» MH.TEMBA AKIRI KUIBIWA VIFAA VYA GARI KWA MARA YA TANO SASA
MH.TEMBA AKIRI KUIBIWA VIFAA VYA GARI KWA MARA YA TANO SASA

MH TEMBA
Kama ulikuwa hujui mtuwangu wa
nguvu mwezi uliopita MH .TEMBA alikuwa kati ya watu walioibiwa
vifaa vya gari ambalo pia picha zake nilizi weka kwenye webst .
Hii leo Temba ameamplify kupitia amplifaya kuibiwa vitu vya gari lake kwa mara ya tano.Mara
ya kwanza aliibiwa akiwa na suzuki mikocheni mara ya pili akiwa na
gari aina ya Gx100 akiwa diamond jubilee mara ya tatu chango’mbe akiwa
na gari aina ya Gx110 mara nne Gx100.na mara ya tano Temba ameibiwa
jana nyumbani kwake.
Post a Comment