Home » » PICHA NA HABARI KAMILI, KUHUSU MTUHUMIWA WA EPA KUJIUA KWA KIJIPIGA RISASI

PICHA NA HABARI KAMILI, KUHUSU MTUHUMIWA WA EPA KUJIUA KWA KIJIPIGA RISASI

Written By shebby on Saturday, January 19, 2013 | 3:03 AM



jai chotalal somani mtuhumiwa epa ajiua kwa risasi Mtuhumiwa wa kesi ya EPA ajiua kwa kujipiga risasi
Marehemu Jai Somani (kushoto, mwenye shati la kijani) alipokua akiingia mahakamani na watuhumiwa wenzake, enzi za uhai wake
MSHITAKIWA katika kesi ya wizi wa zaidi ya Shilingi bilioni 5 za Benki Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti
ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu ya Tanzania (EPA), Jai Chotalal Somani amejiua kwa kujipiga risasi.
 Mshitakiwa huyo anadaiwa kujiua jana
asubuhi nyumbani kwake, mtaa wa Mindu, Upanga katika Manispaa ya Ilala. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Parang Somani ambayeni kaka yake hajui kwa nini mdogo wake amejiua  
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger