Home » » HUU NDO USHAHIDI WA CHADEMA KUA NAPE SI MTOTO WA BRIGEDIA NNAUYE

HUU NDO USHAHIDI WA CHADEMA KUA NAPE SI MTOTO WA BRIGEDIA NNAUYE

Written By shebby on Sunday, February 3, 2013 | 10:30 PM




Image and video hosting by TinyPic

Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger