Home » » CHEKI POZI LA KANYE NA KIM KARDASHIAN, WALIVYOTOKELEZEA KATIKA JALIDA LA L'OFFICIAL HOMMIES

CHEKI POZI LA KANYE NA KIM KARDASHIAN, WALIVYOTOKELEZEA KATIKA JALIDA LA L'OFFICIAL HOMMIES

Written By shebby on Saturday, March 2, 2013 | 2:32 AM

 

Stars wawili ambao ni wapenzi wanaotarajia kupata mtoto, Kanye West Na Kim Kardashian wameonekana wakiwa wametokea kwenye jarida maarufu la ''L'Officiel Hommes'' la nchini Ufaransa.
Wapenzi hao wameonekana kwenye ukurasa wa mbele kabisa wa jarida hilo huku wakiwa kukumbatiana. Jarida hilo linatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger