Home » » CHID BENZ AMPIGA NGWEA NJE YA CLUB SOMA STORY HAPA

CHID BENZ AMPIGA NGWEA NJE YA CLUB SOMA STORY HAPA

Written By shebby on Monday, March 25, 2013 | 9:14 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUhkIEAFtEJUIeHAxU8BR1w0wJTX1SEh-7XjqtVTrjbrS7qnHqJwJj75-uLUrpKRb6_xZmG2Uql4WgLjMcy_omR1hN6mGtqz7pj1Rv3OVYjzh9gcX1l3wUDeu6FddNWR4kSKwA0bDsyPWL/s400/Chidcrop.jpgRapper Chidi Benz, amempiga Cow Bama a,k,a Ngwea nje ya Ambassador Lounge ikiyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo.ugomvi huo ulitokea baada ya Chidi kumzingua Dully alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua kuondoka. Alipoondoka Dully Ngwea akamuuliza inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo Chidi alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chidi aliendelea kungea kwa hasaira na kusema "ndio nimemzingua kwani yeye nani" na kumbadilikia Ngwea ambae pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger