
Day 4 ya Jacky Pentezel amefunguka juu ya siku yake ambayo mme wake wa sasa alimuambia kuhusu nia yake ya kutaka kumuoa. Kama unavyojua kuhusu Jacky ni kwamba ameolewa na jamaa anaitwa Gadner Dibibi ambaye alikuwa anaishi naye kwa muda kadhaa na baadaye kufunga ndoa. “Siku ambayo aliniambia anataka kunioa, nilidhani

Baada ya Jacklyne Pentezel kufunguka kuhusu ishu ya scene ambayo ilitaka kumfanya apoteze life lake huko maeneo ya Morogoro wakiwa wana-shoot “Milosis”, Day 2 atatuambia kisanga kingine alichokutana nacho akiwa ana-shoot movie nyingine. Ukitaka kuwa star hapa mjini sio rahisi kama unavyofikiria, wanakutana na mengi wenzenu wakiwa wanaandaa hizo movie. Sasa ishu ni nini, Jacky WaDibibi kuna siku alipewa script ya movie ambayo ilimbidi aigize kama msagaji. Sasa alivyoambiwa hivyo akaona ni kitu simple tu. Baada ya kupewa ile script na kuona mtiririko wa matukio ambayo anatakiwa kuyafanya kwenye iyo scene na mwanamke mwenzake akaona Ahaa! ishakuwa tatizo. Soma hapa alichokisema na msikilize sauti yake hapo chini.
“Kuna movie ambayo nilipewa kazi ya ku-act kama msagaji, sasa director aliniambia kwamba hapa uta-act kama

Jacky
Kwenye Day 1, Mrs Dibibi anafunguka kuhusu siku alivyokubwa na balaa kama sio joto la jiwe la kuwa movie actress. Kuna siku kwenye kufanya kazi bora akiwa anafanya kazi na Mr Chuz, walienda hadi Morogoro kwa ajili ya ku-shoot baadhi ya scene ya thamthilia ya Milosis. Soma alichokisema na usikilize sauti ya Jacky kuhusu siku hiyo ambayo kuja kuisahau sio rahisi kama alivyofunguka mwenyewe. “Nakumbuka wakati nafanya tamthilia ya
Post a Comment