Home » , » HATARII....TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WACHAPANE MAKOFI NJE YA BUNGE..TAZAMA PICHA

HATARII....TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WACHAPANE MAKOFI NJE YA BUNGE..TAZAMA PICHA

Written By shebby on Wednesday, May 22, 2013 | 1:02 AM




Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.

Mtafaruku huo uliibuka baada ya Kilango kusikika akimtuhumu
Lissu kwa uchochezi, akisema kwamba amekuwa mbunge pekee anayeongoza kwa vurugu.


Maneno hayo hayakumfurahisha Lissu ambaye alishindwa kuvumilia na kumgeukia Kilango kwa nguvu huku baadhi ya wabunge wakishuhudia na wengine wakimzuia Lissu.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger