Home » , » MOVIE ALIYOFANYA MAMA KANUMBA KUTOKA KESHO MITAANI, HAWA NDO WAHUSIKA WAKUU

MOVIE ALIYOFANYA MAMA KANUMBA KUTOKA KESHO MITAANI, HAWA NDO WAHUSIKA WAKUU

Written By shebby on Thursday, May 16, 2013 | 10:00 AM


fffffffffffffffffffffffffffffff
Movie titled “Without Daddy” ambayo imepata kick kutokana na Mama Kanumba kuwa ndani yake, kesho itakuwa mitaani. Watu wengi wana hamu kubwa ya kuona jinsi gani mama Kanumba anauwezo kiasi gani kwenye ishu za kuigiza. Basi usikose kuikamata copy yako kesho na uangalie jinsi gani mama Kanumba kafanya mambo humu ndani. Kweli alimpa kipaji mwanae au ni vingine?
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger