WAPENZI mastaa Bongo, Flora Mvungi na Hamis Baba ‘H-Baba’ wamejichimbia jijini Mwanza kupisha Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Flora Mvungi
Akizungumza na mckakato blog, Flora ambaye hivi karibuni alitolewa mahari na staa huyo wa Bongo Fleva, alisema ameamua kwenda kupumzika ukweni ili kupata baraka za wazazi.“Tupo mwanza kwa wakwe zangu, si unajua baraka nyingi zinatoka kwa wazazi? Tutarudi Dar baada ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya,” alisema Flora.
Post a Comment