Home » » HIVI NDIVO SUGU ALIVO WATULIZA WANA CHAMA WAKE KUTO INGILIA MKUTANO WA CCM

HIVI NDIVO SUGU ALIVO WATULIZA WANA CHAMA WAKE KUTO INGILIA MKUTANO WA CCM

Written By shebby on Friday, December 21, 2012 | 1:35 AM




 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADE,A) akiwa juu ya gari lake, akiwasihi wakereketwa wa chama hicho kutoingilia Mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), uliofanyika eneo la Stendi ya daladala ya Kabwe Jijini Mbeya.


 Taswira kamili ya Mbunge akizungumza na wanachama wa CHADEMA


 Taswira kamili ya hatua waliyokuwa wameifikia wanachama wa CHADEMA kwa ishara ya kuwa CCM imezikwa kaburini.


Picha na Mpiga picha wetu Ezekiel Kamanga,Mbeya.

Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger