Home » » MSAPOTI JAMAA KWA KUSHEREHEKEA PASAKA YAKE NDANI YA MAISHA

MSAPOTI JAMAA KWA KUSHEREHEKEA PASAKA YAKE NDANI YA MAISHA

Written By shebby on Wednesday, January 9, 2013 | 5:50 AM


Supporting my friend and brother Kala Jeremiah's 1st album hasa hasa wimbo wake wa "DEAR GOD";


Baada ya kuachia hit single yake ya kwanza na kukubalika na asilimia 99.9999... ya watanzania ambayo hiyo moja, hakika nimeiweka kwa ajili ya ma hater maana ni wapo kila sehem, Kala Jeremiah atafanya uzinduzi wa album yake ya kwanza aliyoipa jina la PASAKA  yenye nyimbo 23, ndani ya Maisha Club, kwa kiingilio cha shilingi 8000 tu akiwa na Darasa, Ben Pol, Stamina, Dulayo, Nash mc na Roma. be there and support the dude.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger