Home »
michezo
» HUYU NDO KOCHA MPYA WA SIMBA ALIE SAIN MKATABA NA JURIO
HUYU NDO KOCHA MPYA WA SIMBA ALIE SAIN MKATABA NA JURIO
Kocha mpya Simba Patrick liewig akiupitia mkataba wake kabla ya kuusaini.
Kocha mpya Simba Patrick liewig
akisaini mkataba wa miezi 18 kuifundisha Simba mbele ya Makamu
Mwenyekiti Geofrey Nyange pamoja na katibu mkuu wa Simba Bwana Evodius
Mtawala.
Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange akiweka saini kwenye mkataba.
Geofrey Nyange 'Kaburu ' na kocha mpya wa Simba wakibadilishana mikataba.
Mwanasheria wa klabu ya Simba bwana Alan Maduhu akiweka muhuri kwenye mkataba
Jamhuri Kiwhelu 'Julio ' akiwa pamoja na kocha mpya wa Simba Patrick Liewig.
Post a Comment