Habari Mpya
9:42 AM
SHEREHE ZA MWAKA MMOJA WA MAISHA CLUB MTWARA
Written By shebby on Tuesday, March 26, 2013 | 9:42 AM
DVJ Majey na Hyperman HK wakiwa kazini.
Mteja wa Kilimanjaro akijipatia zawadi ya headphone.
Totoz za Mtwara zilihusika sana ndani ya Maisha Club.
DVJ Majey akizidi kupagawisha.
Totoz za Mtwara zikishangweka.
Labels:
burudani
9:23 AM
KAMA HUKUBAHATIKA KUTAZAMA PICHA ZA USIKU WA MAHAKAMA YA MAPENZI....BASI ZICHEKI HAPA NOW
Written By shebby on Monday, March 25, 2013 | 9:23 AM
Labels:
burudani
9:22 AM
JUA ALICHOKISEMA NGWAIR, MASHABIKI NA CHIDI BENZ KUHUSU SAKATA LA NGWAIR KUPIGWA CHUPA NA CHID BENZ
Ni ngumu kuamini lakini ni kweli Chidi Benz kampiga mshkaji wake wa
siku nyingi na waliyewahi kushirikiana kwenye ngoma, 120, Albert
Mangwea.

Kwa mujibu wa blog ya Dj Fetty hivi ndivyo ilivyotokea:
Rapper Chidi Benz, amempiga Cow Bama a,k,a Ngwea nje ya Ambassador Lounge ikiyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo (usiku wa kuamkia jana Jumapili). Ugomvi huo ulitokea baada ya Chidi kumzingua Dully alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua kuondoka.
Baada ya Dully kuondoka, Ngwea aliamua kumuuliza Chidi (ambae mara nyingi huitana Dogo lao), inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo Chidi alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chidi aliendelea kuongea kwa hasira na kusema “ndio nimemzingua kwani yeye nani” na kumbadilikia Ngwea ambae pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye meza aliyokua amekaa na washkaji zake. Haikuishia hapo Chidi amkamfata kwenye meza hiyo na kuanza kumuongelea mbaya Ngwea, na ndipo Ngwea akaamua kushuka chini ya jengo kwa nia ya kuondoka.
Akiwa huko huko chini Chidi alimfata na kumpiga, ikiwa ni pamoja
na kumkata na chupa mkononi,na kupelekwa hospitali ambapo alitibiwa.
Nimeongea na Ngwea ambae anasema haoni chochote kilichomfanya kupigwa na msanii huyo. Ngwea kwa sasa yupo katika kituo cha polisi Oystabay kwa ajili ya kumfungua mashtaka, licha ya kuumizwa pia ni kutokana na vitisho alivyopewa na Benz.
Kutokana na kitendo hicho, mashabiki wamemshambulia Chidi kwa matusi ya nguoni kupitia Twitter na hizi ni miongoni mwa tweets hizo:
@cloudcharles91: @chidibeenz umeniboa tena umeniboa sana kumzingua mwanangu @ngwair kama mziki umekushinda kaa pembeni f*la wewe” umepaniki.
@chidibeenz wanaume rijali atutoboi pua punga ww.. Km unajua pgana, kampge Ney na @diamondplatnumz uko.. achana na @ngwair mtu wa watu ote!
The real yunus: @ngwair no beef…mtu wangu wa nguvu malipo ni duniani waache watoboe pua mwisho wa siku watatoboa maeneo ambayo wakitoboa hata kukaa shida.
“@cloudcharles91: @chidibeenz we ms***e hata kama @ngwair kakuzingua ndo umpige umeniboa sana we boya k*** m*ko”
“Hizo bangi za ukubwani broh,, huoni km ni risk kumpiga mtu na chupa?? 2ngempoteza 2naemuhtaji zaidi yako @ChidiBeenz @ngwair.”
“Umeone eh? I swear bange mbaya sana yani nimekushangaa kwa hili @chidibeenz @ngwair pole ngwair my bro get well soon mwaya.”
Kwa upande wake Chidi Benz alioneshwa kusikitishwa na kitendo cha Ngwair kuretweet matusi yanayomwendea yeye.
‘Siamini kama albert una retweet hii kitu, don’t pretend..hawa. Watu ni watu tuu na watabaki watuu tuuu.na maneno.We unatukana now na unafanya iwe ni kitu, mimi kama unahisi nimekosea mimi Naomba nisamehe kama ulivyowasamehe wengine,” alitweet Chidi.
Alimwambiwa pia Fetty, “kitu nachojua pale ni ofisini kwenu hamtakua mmependa picha ya ugomvi, mimi na ngwea hatuna ubaya naomba tusameheane mnisamehe.”
“Mashabiki msisahau na sisi ni mashabiki wa vitu vingine na tuna maisha mengine, na usijudge maisha ya usiku mimi nikosee au wewe au yeye, “aliongea Chidi.
Lakini Ngwair, ameonesha kutopanic na kutweet vitu vya busara na kwamba ameliacha tukio hilo lipite.
“Am never weak but Strong Enough to Let it Go,” ametweet.
“I don’t know how to fight it’s not my art I rap best.”
“Only You! If you are right then there is no need to get angry, And if you are wrong then you don’t have any right to get angry.”
“Stay away from Anger it hurts.”

Kwa mujibu wa blog ya Dj Fetty hivi ndivyo ilivyotokea:
Rapper Chidi Benz, amempiga Cow Bama a,k,a Ngwea nje ya Ambassador Lounge ikiyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo (usiku wa kuamkia jana Jumapili). Ugomvi huo ulitokea baada ya Chidi kumzingua Dully alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua kuondoka.
Baada ya Dully kuondoka, Ngwea aliamua kumuuliza Chidi (ambae mara nyingi huitana Dogo lao), inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo Chidi alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chidi aliendelea kuongea kwa hasira na kusema “ndio nimemzingua kwani yeye nani” na kumbadilikia Ngwea ambae pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye meza aliyokua amekaa na washkaji zake. Haikuishia hapo Chidi amkamfata kwenye meza hiyo na kuanza kumuongelea mbaya Ngwea, na ndipo Ngwea akaamua kushuka chini ya jengo kwa nia ya kuondoka.

Watangazaji wa Clouds FM Adam Mchomvu na Dj Fetty wakiwa na Chidi Benz Ambassador Lounge
Nimeongea na Ngwea ambae anasema haoni chochote kilichomfanya kupigwa na msanii huyo. Ngwea kwa sasa yupo katika kituo cha polisi Oystabay kwa ajili ya kumfungua mashtaka, licha ya kuumizwa pia ni kutokana na vitisho alivyopewa na Benz.
Kutokana na kitendo hicho, mashabiki wamemshambulia Chidi kwa matusi ya nguoni kupitia Twitter na hizi ni miongoni mwa tweets hizo:
@cloudcharles91: @chidibeenz umeniboa tena umeniboa sana kumzingua mwanangu @ngwair kama mziki umekushinda kaa pembeni f*la wewe” umepaniki.
@chidibeenz wanaume rijali atutoboi pua punga ww.. Km unajua pgana, kampge Ney na @diamondplatnumz uko.. achana na @ngwair mtu wa watu ote!
The real yunus: @ngwair no beef…mtu wangu wa nguvu malipo ni duniani waache watoboe pua mwisho wa siku watatoboa maeneo ambayo wakitoboa hata kukaa shida.
“@cloudcharles91: @chidibeenz we ms***e hata kama @ngwair kakuzingua ndo umpige umeniboa sana we boya k*** m*ko”
“Hizo bangi za ukubwani broh,, huoni km ni risk kumpiga mtu na chupa?? 2ngempoteza 2naemuhtaji zaidi yako @ChidiBeenz @ngwair.”
“Umeone eh? I swear bange mbaya sana yani nimekushangaa kwa hili @chidibeenz @ngwair pole ngwair my bro get well soon mwaya.”
Kwa upande wake Chidi Benz alioneshwa kusikitishwa na kitendo cha Ngwair kuretweet matusi yanayomwendea yeye.
‘Siamini kama albert una retweet hii kitu, don’t pretend..hawa. Watu ni watu tuu na watabaki watuu tuuu.na maneno.We unatukana now na unafanya iwe ni kitu, mimi kama unahisi nimekosea mimi Naomba nisamehe kama ulivyowasamehe wengine,” alitweet Chidi.
Alimwambiwa pia Fetty, “kitu nachojua pale ni ofisini kwenu hamtakua mmependa picha ya ugomvi, mimi na ngwea hatuna ubaya naomba tusameheane mnisamehe.”
“Mashabiki msisahau na sisi ni mashabiki wa vitu vingine na tuna maisha mengine, na usijudge maisha ya usiku mimi nikosee au wewe au yeye, “aliongea Chidi.
Lakini Ngwair, ameonesha kutopanic na kutweet vitu vya busara na kwamba ameliacha tukio hilo lipite.
“Am never weak but Strong Enough to Let it Go,” ametweet.
“I don’t know how to fight it’s not my art I rap best.”
“Only You! If you are right then there is no need to get angry, And if you are wrong then you don’t have any right to get angry.”
“Stay away from Anger it hurts.”
Labels:
burudani
9:19 AM
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa
kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya
kielimu ametumia majina manne tofauti.
HII NDIO KASHFA YA VYETI VYA ELIMU YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU, MULUGO

Philipo Augustine Mulugo ndiyo jina lake halisi ambalo
alilisomea mpaka alipohitimu darasa la saba kwa mara ya kwanza 1988,
lakini kutokana na kwamba hakufaulu kwenda sekondari alirudia darasa
hilo.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa takriban miezi mitatu sasa
umebaini kuwa 1989, Mulugo alirudia darasa la saba katika Shule ya
Msingi Rukwa ya mkoani Mbeya akitumia jina la Hamimu Hassan.
Imebainika kuwa kabla ya kuhitimu darasa la saba kwa mara ya
pili, alibadili jina hilo (kutoka Hamimu Hassan) na kuwa Hamimu
Augustino ambalo aliendelea nalo wakati akisoma elimu ya sekondari
katika Shule ya Sekondari kutwa ya Mbeya (Mbeya Day) mwaka 1990.
Hata hivyo, Mulugo mwenyewe akizungumza na gazeti hili jijini
Dar es Salaam alipuuza tuhuma hizo kwa kusema kuwa ni njama za kisiasa
zinazofanywa na maadui zake. Mulugo anasema madai hayo yamekuwa
yakitolewa mara kwa mara na amekuwa akiyajibu kwa kuwaonyesha vyeti
vyake halali vya shule.
“Hayo madai ni ya muda mrefu, wewe sijui utakuwa mtu wa 20
kuuliza swali kama hilo. Mimi vyeti ninavyo na hata ukitaka ushahidi
nitakuonyesha,” alisema Waziri Mulugo na kuongeza:
“Haya mambo kabla hata sijachaguliwa kuwa Mbunge, tulivyokuwa
bado kwenye mchujo wa ndani, usiku wa manane watu walisambaza huu uvumi
na nilivyoenda kwenye kikao nikatoa vyeti vyangu, wakaviona.”
Waliomfundisha
Baadhi ya walimu waliomfundisha Mulugo, watu waliofanya kazi
naye pamoja na wakazi wa Kijiji cha Udinde alikozaliwa, maelezo yao
yanathibitisha mabadiliko ya majina ya Mulugo kwa nyakati tofauti pia
ngazi mbalimbali za kielimu.
Uchunguzi unabainisha kuwa baada ya kuhitimu kidato cha nne,
alifaulu kwenda Shule ya Sekondari ya Wavulana, Songea ambako alisoma
kati ya 1994 na 1996 akiendelea kutumia jina la Hamimu Mulugo.
Baada ya kuhitimu kidato cha sita, uchunguzi ulibaini kuwa
Mulugo alirejea Mbeya na 1998 alilazimika kubadili tena jina pale
alipotumia cheti cha mtu aitwaye Dickson Mulungu, kuombea kazi ya
kufundisha katika Shule ya Sekondari ya Southern Highlands.
Habari zinasema Mulugo alichukua hatua hiyo ili kumshawishi
mmiliki wa shule hiyo mfanyabiashara, Gulnoor Dossa (sasa ni marehemu),
kumpa nafasi ya kufundisha shuleni hapo.
“Mulugo alilazimika kutumia cheti cha rafiki yake aliyekuwa akiitwa
Dick Mulungu ambaye alipata daraja la pili katika Shule ya Sekondari ya
Songea Boys, hivyo ikawa rahisi kwake kupata kazi ya ualimu katika shule
hiyo,” alisema mmoja wa waliofanya kazi naye shuleni hapo (jina
tunalihifadhi kwa sasa).
Aliongeza kuwa Mulugo alianza kama mwalimu wa kawaida, lakini
baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Shule (headmaster) wakati hakuwa hata na
cheti cha ualimu. Alichukua nafasi hiyo ya ukuu wa shule baada ya
aliyekuwapo kufariki dunia.
“Unajua wale wahindi (wamiliki) walikuwa ni wafanyabiashara kwa
hiyo hawakufuatilia kiwango cha elimu ndiyo maana walimpandisha tu
madaraja bila kujali kuwango cha elimu,” alisema rafiki yake huyo na
kuongeza:
“Nilimshauri aachane na cheo hicho kwani kama ungefanyika
ukaguzi wa Serikali na kumkuta bila vyeti vya ualimu angechukuliwa
hatua, hivyo alinisikiliza na akaachia nafasi hiyo na kujipa cheo cha
umeneja wa shule.”
Chanzo: mwananchi.co.tz
Chanzo: mwananchi.co.tz
Labels:
SIASA
9:16 AM
STAA wa muziki wa taarab na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ ameibua gumzo na kushangaza mashabiki baada ya kukiri kuwa yeye ni mtumiaji wa pombe kali na madawa ya kulevya aina ya mirungi
Ishu hiyo ilijiri Alhamisi ya wiki iliyopita wakati akihojiwa na
mtangazaji wa Redio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ kupitia kipindi chake
cha Mitikisiko ya Pwani ambapo alisema mirungi na pombe kali ndiyo
starehe yake kwani inampa stimu kabla hajapanda jukwaani na katika
maisha yake ya kawaida nje ya usanii.
Mashauzi alifunguka hayo baada ya Dida kumtaka atoe ufafanuzi juu ya skendo ya kuvuta bangi inayomkabili ambapo alisema siyo kweli kwamba anavuta bangi ila akakiri kuwa anakula sana mirungi na kugida ulabu. Aliongeza kwamba kwa kuwa hana mume, mtoto wala hataki kuwa na familia, mirungi na pombe ndiyo vitu vinavyompa furaha maishani mwake.
ISHA MASHAUZI NAYE AKIRI KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA ...ASEMA NDIO STAREHE YAKE
STAA wa muziki wa taarab na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ ameibua gumzo na kushangaza mashabiki baada ya kukiri kuwa yeye ni mtumiaji wa pombe kali na madawa ya kulevya aina ya mirungi
Mashauzi alifunguka hayo baada ya Dida kumtaka atoe ufafanuzi juu ya skendo ya kuvuta bangi inayomkabili ambapo alisema siyo kweli kwamba anavuta bangi ila akakiri kuwa anakula sana mirungi na kugida ulabu. Aliongeza kwamba kwa kuwa hana mume, mtoto wala hataki kuwa na familia, mirungi na pombe ndiyo vitu vinavyompa furaha maishani mwake.
Labels:
burudani
9:14 AM
Rapper Chidi Benz, amempiga Cow Bama a,k,a Ngwea nje ya Ambassador Lounge
ikiyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo.ugomvi huo ulitokea baada
ya Chidi kumzingua Dully alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua
kuondoka.
Alipoondoka Dully Ngwea akamuuliza inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo
Chidi alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza
Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chidi aliendelea kungea
kwa hasaira na kusema "ndio nimemzingua kwani yeye nani" na kumbadilikia
Ngwea ambae pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye
CHID BENZ AMPIGA NGWEA NJE YA CLUB SOMA STORY HAPA

Labels:
burudani
9:10 AM
UPDATES ZA DOGO WA MIAKA 8 ALIYEOA BIBI WA MIAKA 61, HIKI NDICHO KILICHOENDELEA SIKU CHACHE BAADA YA NDOA
![]() |
Sanele Masilela na mkewe Helen Shabangu |

9:07 AM
Carefully tiptoeing almost 3000ft
above Rio de Janeiro on a thin wire got a bit too much for this
adrenaline junkie - so he decided to have a lie down.
Fearless Brian Mosbaugh is so used to the perilous heights he decided he deserved a short break and relaxed over the famous Brazilian city.
Balancing his whole body on the wire, he lies completely horizontal on the precarious rope before getting back up and strolling across the rest of the highline at Pedra da Gavea.
Fellow daredevil Andy Lewis went one step further.
He dangled almost 2,800ft above the ground attached to the line by only an ankle strap.
The pair were joined by fellow Americans Hayley Ashburn and Scott Rogers who together call themselves the Moab Monkeys.
The group travel the world discovering new highlines and BASE jumps.
Highlining is considered the pinnacle of the slacklining sport, in which people prove their balancing skills by walking across a polyester or nylon wire is fixed at two points.
Andy Lewis is a proponent of 'free-solo' slacklining, where no safety harness is worn.
The mind-blowing feats of the group were
captured by Mr Rogers, from Utah, U.S., who risks his own life while
photographing the incredible moments of bravery.
He said: 'On a scale of one to ten, highlining is actually pretty safe - but when you do it without a leash, or with only an ankle leash like Andy, the danger level can reach nine or higher.
'We're very experienced so like to think the risk is fairly low but we all know the consequences are very high - instant death in the case of a fall freesoloing or with the ankle leash slipping off.'
He said Mr Lewis had to pull himself back onto the line after dangling upside down.
He said: 'To get
back up from hanging on the leash Andy had to reach up, grab the leash,
and climb up to the line which is pretty difficult and requires a lot of
practice and upper body strength.
'But I have known these guys for years and they are the best out there - they have some amazing skills and the massive Brazilian slacklining community were loving every minute of it.
'It's great to travel around the world and quite literally hang out with your friends meeting new people and watching how they react to you.
'These were some of the most spectacular surroundings we have seen and being so high above the city I doubt people could even see what we were getting up to.'
NINA UHAKIKA HAKUNA MBONGO YEYOTE, ANAYEWEZA FANYA KAI HII. CHEKI HAPA

Fearless Brian Mosbaugh is so used to the perilous heights he decided he deserved a short break and relaxed over the famous Brazilian city.
Balancing his whole body on the wire, he lies completely horizontal on the precarious rope before getting back up and strolling across the rest of the highline at Pedra da Gavea.

Fearless: Brian Mosbaugh takes a breather as he crosses the high line about 850 metres above the city

Among the clouds: Fearless Mosbaugh walks almost 3,000ft above Rio de Janeiro with only a waist-tied harness

Having a rest: Mosbaugh balances cross legged during the dare devil stunt
He dangled almost 2,800ft above the ground attached to the line by only an ankle strap.
More...
The group travel the world discovering new highlines and BASE jumps.
Highlining is considered the pinnacle of the slacklining sport, in which people prove their balancing skills by walking across a polyester or nylon wire is fixed at two points.
Andy Lewis is a proponent of 'free-solo' slacklining, where no safety harness is worn.

Unique view: Mosbaugh gazes at the sky as he lies among the clouds above the famous Brazilian city

Paradise: Mosbaugh lies completely horizontal on the highline at Pedra da Gavea
He said: 'On a scale of one to ten, highlining is actually pretty safe - but when you do it without a leash, or with only an ankle leash like Andy, the danger level can reach nine or higher.
'We're very experienced so like to think the risk is fairly low but we all know the consequences are very high - instant death in the case of a fall freesoloing or with the ankle leash slipping off.'
He said Mr Lewis had to pull himself back onto the line after dangling upside down.

Hanging around: Andy Lewis hangs upside down over the Rio skyline while tied only by his ankle
'But I have known these guys for years and they are the best out there - they have some amazing skills and the massive Brazilian slacklining community were loving every minute of it.
'It's great to travel around the world and quite literally hang out with your friends meeting new people and watching how they react to you.
'These were some of the most spectacular surroundings we have seen and being so high above the city I doubt people could even see what we were getting up to.'

Terrifying: Andy Lewis walks precariously across the thin line in front of the amazing backdrop

4:40 AM
HIKI NDICHO ALICHOFUNGUKA TUNDU LISSU, KUHUSU KUJIFICHA CHOONI KUWAKIMBIA WAANDISHI WA HABARI
Written By shebby on Tuesday, March 19, 2013 | 4:40 AM
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu
Na Haruni Sanchawa
ZIPO
taarifa kwamba Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, wiki
iliyopita alijifungia chooni kukwepa waandishi wa habari waliotaka
kauli yake juu ya video hatari ambayo inadaiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na
Usalama wa chama hicho, Wilfred Rwakatare, alirekodiwa akieleza njama za
uhalifu.
Tundu ambaye
ni Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, amesema kuwa maelezo
yaliyotolewa kwamba alijificha chooni kwa muda wa saa mbili si kweli,
kwani hawezi kufanya hivyo.
“Jamani mimi na umri wangu huu nawezaje kuwakimbia waandishi wa
habari? Siku zote mimi nafanya kazi na waandishi wa habari,” alisema
Lissu na kuongeza:
“Ofisi yangu pale Ofisi Ndogo za Bunge, Dar es Salaam ina choo ndani,
nikiwa ofisini kama mtu yupo nje wala hawezi kujua kama mimi nipo
chooni. Nadhani hizo taarifa za kusema nilijifungia chooni ni za
upotoshaji.
“Halafu haiwezekani mimi nikimbie suala la Rwakatare kwa sababu
tayari nilishalitolea maelezo. Mpaka sasa, mimi kama mmoja wa mawakili
wanaomtetea, nina maswali yangu kwa jeshi la polisi, kwani ile video
haioneshi uhalifu wowote ambao umetendeka.
“Ni kweli niliweka miadi ya kuzungumza na waandishi lakini nilisahau.
Nakumbuka jioni kabisa ya siku hiyo, nilipokea SMS ya mwandishi,
akiniambia alikaa sana Ofisi Ndogo za Bunge, Dar es Salaam mpaka
akachoka, kwa hiyo alishindwa kuniona.”
Wikiendi iliyopita, iliripotiwa na mitandao mbalimbali pamoja na
gazeti moja la kila siku kwamba Lissu alijificha chooni kwa saa mbili
kukwepa kuonana na waandishi wa habari, waliotaka ufafanuzi wake kuhusu
kile kinachoendelea juu ya kesi inayomkabili Rwakatare ambaye ni
Kiongozi Mstaafu wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
SOURCE GLOBAL PUBLISHER
Labels:
SIASA
4:37 AM
Wang Zhixiang is suffering from the benign growth — called a lipoma –
which is almost as wide as his shoulders.
The lipoma – a soft lump under the skin that is caused by an overgrowth
of fat cells — is also spreading around his body and affects his back,
legs, arms and stomach.
Mr Zhixiang, from Jilin city, Jilin province in China believes the problem was triggered by hormone therapy he received following an accident in 2005.
The non-cancerous growth, which affects one in 100 people, is harmless and can often be left alone.
But particularly large lipomas like Mr Zhixiang’s are normally removed.
However, his family cannot afford the procedure – so he has to try and manage with the growth, which is nearly 30 centimetres wide.
MAISHA TUNAYOISHI NI YA RAHA SANA, VIPI WEWE UNGEUPATA UGONJWA HUU UNGEFANYAJE?
![]() |
Mr Zhixiang, from Jilin city, Jilin province in China believes the problem was triggered by hormone therapy he received following an accident in 2005.
The non-cancerous growth, which affects one in 100 people, is harmless and can often be left alone.
But particularly large lipomas like Mr Zhixiang’s are normally removed.
However, his family cannot afford the procedure – so he has to try and manage with the growth, which is nearly 30 centimetres wide.
![]() |
![]() |
![]() |
Labels:
matukio
9:02 AM
Trafiki wa kike aliyejulikana kwa jina moja la Elikiza aliyekuwa akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na inadhaniwa kuwa amekufa papo hapo.

Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.
Trafiki mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Elikiza, muda huu amegongwa na gari aina ya VX ambayo haikujulikana namba na inadhaniwa kuwa amekufa papo hapo wakati akiongoza magari eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopatikana eneo la tukio zinadai kuwa Trafiki huyo alikuwa akiongoza msafara na baada ya msafara huo, aliruhusu magari mengine yaendelee na safari ndipo ghafla gari lilipotoka upande wa pili na kumgonga.
KATIKA PICHA : HIVI NDIVYO TRAFFIC ALIYEKUWA AKIONGOZA MSAFARA ALIVYOGONGWA HADI KUFA....TAZMA PICHA NA USOME PIA
Written By shebby on Monday, March 18, 2013 | 9:02 AM
Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.
Trafiki mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Elikiza, muda huu amegongwa na gari aina ya VX ambayo haikujulikana namba na inadhaniwa kuwa amekufa papo hapo wakati akiongoza magari eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopatikana eneo la tukio zinadai kuwa Trafiki huyo alikuwa akiongoza msafara na baada ya msafara huo, aliruhusu magari mengine yaendelee na safari ndipo ghafla gari lilipotoka upande wa pili na kumgonga.
Shuhuda aliyekuwapo katika tukio hilo ajulikanaye kwa jina la WillyIam
anasimulia : Ndugu zangu, huyu mama alitusimamisha sisi tupishe msafara,
tukaipisha
na yeye akakaa pembeni, ulikua msafara wa magari zaidi ya 50 na yalikua
speed kubwa tuu zikiwemo na ambulance.
Sasa huyu mama kosa lake pengine ni hili:
Alihisi kuna watu wameunga tela msafara wa jamaa so akawasimamisha mungu saidia alisimamisha gari 2 zilizokua in a very high speed. Bila ya kuangalia nyuma ya zile gari akaanza kuruhusu gari from Shekilango road na hapo ndipo Discovery 4 kama sio 3 ilipofika kwenye mataa ikiwa na speed kama 120 hivi ikashindwa kusimama na kutanua ili isigongane mna magari yanayo-cross from Shekilango.
Jinsi gani ambavyo kifo kinamuita mtu mama yule alikua upande wa TBC badala ya kua upande wa sinza so jamaa alichofanya ni kukwepa madaladala hamadi traffic huyu hapa jamaa akapita. Sasa sisi tulichokua tunakiona sekunde ya kwanza ni kua jamaa kapanda ukingo ya barabara na kusepa, ila baada ya sekunde kumi niligundua kua kuna tukio zaidi ya tulichokiona nikashuka as i was walking ndio nikaona kofia ya traffic akili ikanijia sasa na wala sikutaka kwenda kuona maana wanaotazama waliniashiria kua si kitu kizuri kutazama.
Ila nimejifunza kua maisha haya jamani hatujui lini ni siku yetu, yule mama nina uhakika kabisa hakujua kama angekutwa na lililomkuta.
Binafsi nimechukulia kama fundisho kwangu, sina mtazamo kama wa wachangiaji wengi wa juu yangu.
(Picha na Shauri Kati / GPL)