Kwa mujibu wa survey iliyopewa jina la ‘East Africa’s Top 50 Artists on
Facebook’ iliyofanywa na website ya HiPipo ya nchini Uganda, Nonini ana
watu 91,650 waliolike ukurasa wake wa Facebook akifuatiwa na Wahu –
83,356 na Jua Kali mwenye likes 80,224.
Lady Jaydee na Fid Q wamekamata nafasi ya 10 na 10.
Post a Comment