Home » , » UMEIPATA HII KUTOKA KWA AVRIL?? AGEUKA PUSHA WA MADAWA YA KULEVYA, SOMA CHANZO NI NINI

UMEIPATA HII KUTOKA KWA AVRIL?? AGEUKA PUSHA WA MADAWA YA KULEVYA, SOMA CHANZO NI NINI

Written By shebby on Friday, April 5, 2013 | 1:50 PM

Avril kwa sasa amegeukia upande wa kuigiza, ambapo baade mwaka huu ataonekana kupitia series inayoitwa "Noose of Gold" itakayokuwa ikiruka kupitia channel ya DSTV. Ameongea na mtandao wa Ghaflais, na kusema kuwa bado wanarekodi na sasa wamefikia season ya 5, ambapo anaigiza kama pusha wa madawa ya kulevya.
"sijawahi kabisa kudili na madawa ya kulevya, najifunza ulimwengu huo kwa sasa ili nifanye vizuri katika series hiyo." amesema Avril.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger