Home » , » HAWA NDIO WALIOMFUNGULIA KESI MWANADADA LAD JAY DEE SOMA HAPA STORY KAMILI

HAWA NDIO WALIOMFUNGULIA KESI MWANADADA LAD JAY DEE SOMA HAPA STORY KAMILI

Written By shebby on Monday, May 13, 2013 | 9:07 AM



Taarifa  ambazo bado hazijatolewa hadharani ni kwamba  Clouds Media Group imeamua kumfungilia mashitaka mwanadada  Judith Wambura amabye anajulikana kwa jina  ‘Lady Jaydee’. 

Clouds Media wameamua kufungua  mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuongea kauli mbaya ambazo hasa zilikuwa zinawalenga maboos  wakubwa wawili wa juu wa wa Clouds Media Group ambao ni Mkurugenzi Mtendaji , Joseph Kusaga na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo, Ruge Mutahaba katika mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee anatakiwa kuripoti  Mahakamani kukabiliana na tuhuma hizo endele kuwa nasi tutakujuza kinacho endelea huko.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger