Home » , » HICHI NDICHO KILICHO JIRI LEO MAHAKAMANI DHIDI YA MWANADADA J DEE

HICHI NDICHO KILICHO JIRI LEO MAHAKAMANI DHIDI YA MWANADADA J DEE

Written By shebby on Monday, May 13, 2013 | 9:24 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcGArkTYeplHaijdkYB117xnD1KPR4QVffA90TNJauju7dQBzTI_z-JhWhLjmIcxuoa8kM7URBaymARcxVaaJqFNKt8fEwzS9qp5HwQLSn1MjebgyLhzjRCowak6QFzhGZwp89nyCjAbcm/s1600/Jide+Cosmetics.jpgMWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.

Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.

Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger