Home » , , » MORINYO AKIMBIA WAANDISAHI WA HABARI

MORINYO AKIMBIA WAANDISAHI WA HABARI

Written By shebby on Friday, May 17, 2013 | 8:33 AM

Jose Mourinho hakutokea kwenye mkutano wa waandishi wa habari siku moja kabla ya mchezo wa fainali wa Copa del Rey baina ya Real Madrid na Atletico Madrid, hivyo Sergio Ramos aliachwa kujibu maswali ya waandishi mwenyewe. Mwandishi mmoja wa kibrazil hakuridhishwa na suala la Mourinho kutotokea hivyo akaamua kuonyesha hasira zake kwa kuchana chana picha ya Mourinho.
Share this article :

Post a Comment

 
thanx to : my family | bongoclan | shebby.c
Copyright © 2011. BONGODASH - All Rights Reserved
imetengenezwa na blogdesinerimepigwa chapa na mchakato
Proudly powered by Blogger