mmiliki wa roby one fashion na big jah man wafikishwa mahakamani kwa wizi |
BIG JAHMAN |
kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi... kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea
Post a Comment